KAGUA.

Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karim Mattaka (katikati) akiwaongoza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalounganisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam na Kigamboni jana. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk Norman Sigala. (Picha na Fadhili Akida).

Previous
Next Post »

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng