Jiji la London lamchagua Meya Muislamu

Jiji la London limemchagua Meya wa kwanza Muislamu, Sadiq Khan, aliyekuwa wakati mmoja Waziri katika chama cha upinzani cha Laba.
Bwana Khan ni mwana wa dereva wa zamani wa bas jijini London aliyezaliwa Pakistan. Alipata kura milioni moja na mia tatu elfu.
Hicho ni kiwango kikubwa sana cha kura kuwahi kupigiwa Meya ye yote jijini London.
Jiji la London limemchagua Meya wa kwanza Muislamu, Sadiq Khan, aliyekuwa wakati mmoja Waziri katika chama cha upinzani cha Laba.
Bwana Khan ni mwana wa dereva wa zamani wa bas jijini London aliyezaliwa Pakistan. Alipata kura milioni moja na mia tatu elfu.
Hicho ni kiwango kikubwa sana cha kura kuwahi kupigiwa Meya ye yote jijini London.Ushindi huo ni wa kumtia moyo kiongozi wa chama cha Labour Jeremy Corbyn.
Chama chake kilipata ushindi dhaifu katika maeneo mengine ya nchi katika uchaguzi huo.

Previous
Next Post »

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng