MASHINDANO YAENDELEA KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGA ZAJI ARUSHA


   CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHAKIWEANDAA MASHINDANO YA UTANGAZAJI YANAYOENDELEA CHUONI HAPO IKIWA LEO NI SIKU YA TATU NA YATAITIMISHWA SIKU YA IJUMAA.

CHUO ICHO CHA HABARI AMBACHO KINASHIKA NAFASI YA PILI KWA MAFUNZO BORA YA UTANGAZAJI NA UANDISHI WA HABARI HAPA TANZANIA,  KIMEANDAA MASHINDANO HAYO ILI KUWANOA WANAFUNZI WAKE  KATIKA SEKTA  YA UTANGAZAJI NA UANDISHI WA HABARI PAMOJA NA UANDAAJI WA VIPINDI VYA REDIO

HATA IVYO BWANA ALIFURAHA SAMBOTO AMBAYE NI MAKAMU WA CHUO HICHO AMESEMA KUWA LENGO LA MASHINDANO HAYO SI TU KWA AJILI YA PESA NA ZAWADI ZILIZO TAJWA BALI NIKWAAJILI YA WANAFUNZI WA CHUO HICHO KUONESHA UMAHIRI WAO NA VIPAJI VYAO VYA UTANGAZAJI NA UANDAAJI WA VIPINDI VYA REDIO


IKUMBUKWE KUAWA CHUO HICHO SIO MARA YA KWANZA KUANDAA MASHINDANO HAYO YAKIWA HAYO NI MASHINDANO YA TISA NA WASHIDI WA TATU WATAPEWA ZAWADI AMBAPO MSHINDI WA KWANZA ATAPEWA PESA TASLIMU TSH 150,000 NA KOMBE,MSHINDI WA PILI ATAPEWA TSH 100,000 NA MSZHINDI WA TATU ATAPATA TSH 75000 NA ZAWADI NYINGINEZO.
Previous
Next Post »