CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA CHA TISHA KWA MAZOEZI YA VITENDO

WAKUFUNZI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI WAKIWASIKILIZA WANAFUNZI WAO KATIKA MAZOEZI YA VITENDO ILI KUWAFANYA IMARA ZAIDI
WANAFUNZI WA KIDO SECONDARY WAKITAZAMA VIFAA VINAVYO TUMIWA KWA MAZOEZI YA VITENDO CHUONI HAPO NA WANAFUNZI WA CHUO HICHO.
MOJA KATI YA WAGENI WANAO TEMBELEA CHUO HICHO KINACHOTOA MAFUNZO YA UTANGAZAJI NA UANDISHI WA HABARI.
WAELIMISHAJI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI WAKIWAPA WANAFUNZI WA CHUO HICHO CHANGAMOTO ZILIZOKO BAADA YA WAO KUMALIZA CHUO,
WANAFUNZI WA CHUO CHA AJTC WAKIJIANDAA KUINGIA KATIKA MAZOEZI YA VITENDO KATIKA CHUO HICHO ILI KUJIIMARISHA ZAIDI KATIKA SEKTA YA HABARI.
BAATHI YA WANAFUNZI WA ARUSHA JOURNALISM WAKIFANYA MAZOEZI KATIKA STUDIO  ZA CHUO HICHO ILI KUJIIMARISHA KATIKA SEKTA YA HABARI NA UTANGAZAJI
WALIO MALIZA KATIKA CHUO CHA AJTC WAKITOA HAMASA KWA WANAFUNZI KUJITAIDI KATIKA MAZOEZI WAWEPO CHUONI
WALIMU KATIKA CHUO CHA AJTC WAKIWAFUNDISHA WANAFUNZI WAO KWA NJIA YA VITENDO ZAIDI KWA KUINGIA STUDIO
WANAFUNZI WALIO SHINDA KATIKA MASHINDANO YA CHUO HICHO YA UTANGAZAJI
BAATHI YA WANAFUNZI WA ARUSHA JOURNALISM WAKIFANYA MAZOEZI KATIKA STUDIO  ZA CHUO HICHO ILI KUJIIMARISHA KATIKA SEKTA YA HABARI NA UTANGAZAJI
Previous
Next Post »