Zijue Make up brushes na matumizi yake..


Leo tuzijue make up brushes,majina yake na kazi zake kwenye urembo wa uso wako.

1. Powder brush-hii ni kwa ajili ya kupaka aina yoyote ya powder foundation

     2.Stippling brush-hii ni kwa ajili ya kupaka foundation za liquid,light na cream products
3.Flat brush-kwa ajili ya contour application
4.Kabuki brush-kwa ajili ya kuapply powder in a circular motion


5.Fan brush-kwa ajili ya kusawazisha excess powder 

6.Smudge brush- kama unataka mwonekano wa smokey eye tumia hiii

7.Angled brush-kwa ajili ya kuapply blush

8.Brow brush na comb-kwa ajili ya kuchana eyelashes na eyebrows

9.Brow brush-kwa ajili ya kufill in your brows

10.Concealer brush

11.Eyebrow brush- kwa ajili ya kupaka eyeshadow
 

12. Lipbrush- kwa ajili ya kupaka lipstick au lipgloss

13.Angled eyebrush-kwa ajili ya kupaka gel eyeliner

14.Angled liner brush-kwa ajili ya eyeliner


15.Eyeblending brush-kwa kusawazisha eyeshadow ikae vizuri

16.Blending brush-kwa  ajili ya kusawazisha make up yote baada ya kumaliza
Previous
Next Post »