RIO FERDINAND, BEKI KISIKI WA MAN UNITED AMEAMUA KUINGIA KWENYE MASUMBWI

 
 
 
Beki wa zamani wa Man United, Rio Ferdinand ameamua kuwa mwanamasumbwi.
 
Ferdinand ambaye ni raia wa England mwenye asili ya Jamaica ameamua kujifua hadi atakapofikia vigezo vya kuwa mwanamasumbwi wa kulipwa.
 
Beki huyo ameanza mazoezi lakini lengo lake ni kuishawishi bodi ya ngumi za kulipwa kumpa kibali.


Previous
Next Post »