Waandamanaji wa upinzani nchini Kenya wamefunga barabara kwa kuchoma magurudumu katika mji wa Kisumu ulio magharibi mwa nchi hiyo.
Waandamanaji hao wanataka tume ya uchaguzi nchini Kenya kufanyiwa mabadiliko.
Ghasia hizo zinashuhudiwa licha ya mkuu wa polisi katika mji wa Kisumu kuwaonya watu na kuwataka wazishiriki maandamano hayo.
Ripoti ambazo hazijathibtishwa zinasema kuwa mtu mmoja ameuawa wakati wa maandamano ya mji wa Kisumu.
This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period.
Related Post
Viongozi wa Acacia wajiuzulu
Mkurugenzi Mkuu wa Acacia nchini Tanzania Brad Gordon na Mkurugenzi Mkuu wa fedha Andrew Wray, wam
Mbwa anayechapa mazoezi makali ya misuli
Je wewe hufanya mazoezi ya kuboresha afya yako kila siku ?
Amini usiamini , nchini Uingereza ku
AUWAWA KIKATILI MKOANI RUKWA
MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha China Kata ya Kate, Nkasi, Rukwa, Telestina Silanda (45) ameuawa kwa
Madaktari sita kutoka muungano wa madaktari nchini Kenya wamepewa hukumu ya kusimamishwa kazi k
ConversionConversion EmoticonEmoticon