THE EYEBROW GUIDE/AINA YA KUTINDA NYUSI.

Watu wakisema "Eyebrows on fleek" wanamaanisha you have the perfect brow, sasa whats the perfect brow? The perfect brow ina depend na what is in style kwa kipindi hicho, ina depend na what is trending. Kama kipindi hiki I think the arc ndio inatrend,, but mnajua kuwa the arc haimpendezi kila mtu, kwasababu watu tuna texture tofauti za nywele na pia jinsi nyusi zinavyoota nazo ni tofauti pia.

Nimewaletea some guidlines ili muweze kujua nyusi zenu zinafaa kushepiwa vipi, na soon ntawaonesha aina za shape ya sura na nyusi zinazopendeza hizo sura na pia njia tofauti unazoweza kutumia kuchonga nyusi zako.


Kabla hata hujachonga nyusi zako, ukijiangalia unaweza ukaona nyusi zako zimekaa shape gani. Watu huwa wanatinda nyusi ili tu kuzifanya zionekane more defined. Lkini ukijaribu kuzipa nyusi zako shape nyingine kabisa ndipo unapoharibu.
Picha ya hapo juu utaona aina/shapes tofauti za nyusi::
  • Straight/iliyonyooka
  • Rounded/ ya mduara
  • Arched
  • Steep arch
  • S-shaped

Ukishajua shape ya nyusi zako, hivi ndivyo utakavyojua jinsi ya kuchonga/kutinda nyusi zako.
Nyusi zako zinatakiwa kuanzia mtari uwe sambamba na mwisho wa pua yako(A), then pale pa kuinyanyua kidogo(inategemea na shape ya nyusi zako) inatakiwa ilingane na pupils zako (B) ,huo mnyanyuko unaishia mwisho wa jicho lako linapoishia(C), hapo nyusi inaanza kuwa nyembamba hadi mwisho ambapo unalishanisha pua, mwisho wa jicho(D)
Previous
Next Post »