Mwigulu Nchemba"magari yatakayo kamatwa na bangi yataifishwe"


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi nchini  Tanzania  Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kukamatwa na  kutafishwa kwa magari yatakayotumika kubeba na kusambaza bangi ikiwa ni njia ya kukabiliana na matumizi ya bangi nchini.
Dkt. Nchemba amesema hayo Mkoani Arusha baada ya kushiriki tukio la kuteketeza zaidi ya ekari sita za bangi katika kijiji cha Engalaoni wilaya ya Arumeru.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Charles Mkumbo,ameomba wananchi waendelee kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili kuwabaini watu wanaokaidi vita dhidi ya dawa za kulevya.
Dkt. Nchemba amesema vi ta dhidi ya dawa za kulevya ni endelevu
Previous
Next Post »